
Posted Time: 01:17:00
Ndugu Viongozi Salaam, pamoja na Programu zingine za MGI tunaomba kutangaza rasmi kwamba kuanzia mwezi ujao Jumamosi ya pili ya kila mwezi itafanyika Programu yenye jina MGI YOUNG LADIES FORUM ambayo itawakutanisha Wanawake Vijana kubadilishana uzoefu, Fursa, kupata Elimu ya Uongozi na Biashara sambamba na Kupata nafasi ya kuonyesha Bunifu, vipaji, bidhaa na huduma zao kuwawezesha kufikia Maendeleo endelevu