Preloader Close
P.O. Box 77037, Dar es Salaam, Tanzania
mgimgi
mgimgi
14 Oct 2024

Mkoa wa Pwani tutakuwa na Programu Vyuo Viwili

Posted Time: 02:25:00

Ndugu Viongozi, kwa ndani ya Vyuo mwezi huu, kwa Mkoa wa Pwani tutakuwa na Programu Vyuo Viwili ambavyo ni TASUBA na KIBAHA COHAS,Kwa Dar es salaam tutafanya kwenye Vyuo vitatu ambavyo ni MUFO,City College na Borigaram,Kwa Dodoma itakuwa VETA DODOMA,DECOHAS na DIHAS na Morogoro itakuwa LITA na VETA Morogoro,tuliopo jirani na Vyuo hivyo, Karibuni sana.